Msanii maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda Kizito Mihigo ambaye aliripotiwa kujiua katika mahabusu ya polisi nchini Rwanda amezikwa leo nchini Rwanda. Mamia ya watu wamejitokeza kuusindikiza ...
Majozi na vilio vimetawala wakati wasanii, ndugu, jamaa na marafiki wakimpumzisha aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, ...
MUIGIZAJI na mwanamitandao maarufu wa Nigeria, ambaye ni mke wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux, Priscilla Ojo ...
Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo tutakuwa na msanii maarufu wa sanaa ya maigizo na vichekesho Daniel Ndambuki maarufu kwa jina la Churchill toka nchini Kenya. Fahamu asili ya jina ...
Mmoja wa wasanii wa miondoko ya kufoka maarufu "rap" nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes, anayejulikana kama AKA, ameuawa jana usiku kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa ulioko kusini mashariki mwa jiji ...
Ni msanii aliyeshirikishwa katika wimbo wa kwanza wa Nasib Abdul maarufu Diamond Platinamuz unaoitwa Nitarejea, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond wakati akirekodi ngoma hiyo, sasa nini ...
Msanii maarufu visiwani Zanzibar, Afrika mashariki na nje ya bara hilo Baraka Khamisi maarufu kwa jina la Bi Kidude, amefariki dunia. Taarifa ya kifo chake ilitangazwa na jamaa zake hii leo mjini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results