Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote mbili ...
'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...